Kigeser-Gorom

Kigeser-Gorom (pia Kiseram) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wageser na Wagorom kwenye visiwa vya Seram na Gorom. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kigeser-Gorom imehesabiwa kuwa watu 36,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigeser-Gorom iko katika kundi la Kimaluku.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search